S3 inayo multi windows mimi nimeshaitumia.
Vuta pazia la notification eka multi windows on. Utaona kipicha kimeongezeka katikati ya display, kiguse utaona kuna row nzima ya icon drag hizo app katikati ya display utaona multiwindow inatokea
Kama huioni update kwenda latest version