Sawa mkuu ila imei namba ni tofauti nikicheki nyuma ya battery na ndani ya setting kwenye about phone hii imekaaje?ni original
1. s4 ni ya kisasa kuliko note 2 kama ulifikiri una upgrade toa mawazo hayo. kila idara s4 ni nzuri.
2.si app zote zinazokuja na simu hazitoki zipo ambazo zinatoka
Sawa mkuu ila imei namba ni tofauti nikicheki nyuma ya battery na ndani ya setting kwenye about phone hii imekaaje?
Hili ndio jibu mkuu naomba muongozo hapo maana nina imei 2 tofauti ya chini ya betry na kwenye setting hapa nimetumia ya kwenye setting> about phone kuwatumiasio dalili nzuri hio, hapo inamaana simu ilipata tatizo ikafutika imei then ikaekwa imei fake. japo sina uhakika sana.
kuhakiki vizuri cheki kama simu yako ni fake tuma imei yako kwenda 15090 then watakujibu utajua.
Hapa nikatuma imei iliyopo chini ya bettery ikaja jibu hili hapasio dalili nzuri hio, hapo inamaana simu ilipata tatizo ikafutika imei then ikaekwa imei fake. japo sina uhakika sana.
kuhakiki vizuri cheki kama simu yako ni fake tuma imei yako kwenda 15090 then watakujibu utajua.
Mkuu ni 15090 au 15685. Leo hii nimetoka kununua Samsung na katika kusajili imei yake txt ya warrant ya miaka 2 ilikuja na no hio. Plz ufafanuzi kidogo. Au hio yako ni kucheck tu kama ni original sio kusajilisio dalili nzuri hio, hapo inamaana simu ilipata tatizo ikafutika imei then ikaekwa imei fake. japo sina uhakika sana.
kuhakiki vizuri cheki kama simu yako ni fake tuma imei yako kwenda 15090 then watakujibu utajua.
Mkuu ni 15090 au 15685. Leo hii nimetoka kununua Samsung na katika kusajili imei yake txt ya warrant ya miaka 2 ilikuja na no hio. Plz ufafanuzi kidogo. Au hio yako ni kucheck tu kama ni original sio kusajili
Ahsante mkuu. Mimi sio mtoa hoja ila nilitaka ufafanuzi wa hizo no tu ili nijue vile mimi ni shabiki wa simu za Samsung.-15685 ni usajili wa warranty ya samsung
-15090- ni uhakiki wa TCRA kama simu ni original au feki.
simu yako hio note 2 imeekwa imei ya simu nyengine yaani hio samsung e1207 hivyo hapo kuna utata.
Shukrani sana mkuu wangu ngoja niirudishe-15685 ni usajili wa warranty ya samsung
-15090- ni uhakiki wa TCRA kama simu ni original au feki.
simu yako hio note 2 imeekwa imei ya simu nyengine yaani hio samsung e1207 hivyo hapo kuna utata.