Msaada samsung J3

Msaada samsung J3

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,958
Baadacya kuharibika kioo nilipekeka kwa fundi, simu imerudi inafanya kazi ila ikienda slerp mode/standby kama simu zote isipotumika dakika kadhaa inakuwa blackscreen na huoni kitu, ila unasimu zinaita na meseji na notificaction kama kawaida. Mpaka nitoe betri niwashe upya ndio display na icons zinaonekana. Pia adjust ya brightness haifanyi kazi baadavya kutoka kwa fundi.

Naomba watalaam mnijuze hii ni tatizo la software au hardware na je linarekebishika.

Natanguliza shukrani
 
kuna sensor mbele ya simu ukiziziba inasababisha hayo matatizo. pengine touch/protector zimeziba hizo sensor hapo mbele.
 
vioo vingine unakuta kwenye tundu la sensor wamepaka rangi so inasababisha sensor isifanye kazi mpka ukwangue hiyo rangi itoke
 
vioo vingine unakuta kwenye tundu la sensor wamepaka rangi so inasababisha sensor isifanye kazi mpka ukwangue hiyo rangi itoke
Kwa hiyo ina maana ni kazi ya fundi,shukrani nitafuatilia,kioo kimekula sana hela.
 
Back
Top Bottom