New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,400 Reaction score 2,572 Mar 4, 2018 #1 nina samsung nimeinunua china..kule ilikuwa ikifanya poa kabisa ila baada ya kufika hapa nchini nimeweka line zetu haisomi inasema insert sim card
nina samsung nimeinunua china..kule ilikuwa ikifanya poa kabisa ila baada ya kufika hapa nchini nimeweka line zetu haisomi inasema insert sim card
The Hurricane JF-Expert Member Joined Sep 19, 2012 Posts 760 Reaction score 1,048 Mar 4, 2018 #2 Unanunua grand prime china??
numis Senior Member Joined May 25, 2017 Posts 176 Reaction score 188 Mar 4, 2018 #3 New Nytemare said: nina samsung nimeinunua china..kule ilikuwa ikifanya poa kabisa ila baada ya kufika hapa nchini nimeweka line zetu haisomi inasema insert sim card Click to expand... Nenda setting afu shuka mpak about phone screenshot utume hapa chapu tuone
New Nytemare said: nina samsung nimeinunua china..kule ilikuwa ikifanya poa kabisa ila baada ya kufika hapa nchini nimeweka line zetu haisomi inasema insert sim card Click to expand... Nenda setting afu shuka mpak about phone screenshot utume hapa chapu tuone
numis Senior Member Joined May 25, 2017 Posts 176 Reaction score 188 Mar 4, 2018 #4 New Nytemare said: nina samsung nimeinunua china..kule ilikuwa ikifanya poa kabisa ila baada ya kufika hapa nchini nimeweka line zetu haisomi inasema insert sim card Click to expand... Iscreenshot model ya simu kweny about phone utume hapa tuone
New Nytemare said: nina samsung nimeinunua china..kule ilikuwa ikifanya poa kabisa ila baada ya kufika hapa nchini nimeweka line zetu haisomi inasema insert sim card Click to expand... Iscreenshot model ya simu kweny about phone utume hapa tuone
K kenji pressident Member Joined Dec 13, 2017 Posts 18 Reaction score 7 Mar 4, 2018 #5 Nina simsung nikiweka charge hata ikae masaa kumi haingizi charge na cjui kwa nn
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,722 Reaction score 6,593 Mar 4, 2018 #6 kenji pressident said: Nina simsung nikiweka charge hata ikae masaa kumi haingizi charge na cjui kwa nn Click to expand... Charging system imekufa hiyo
kenji pressident said: Nina simsung nikiweka charge hata ikae masaa kumi haingizi charge na cjui kwa nn Click to expand... Charging system imekufa hiyo
ashomile JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,913 Reaction score 2,967 Mar 4, 2018 #7 kenji pressident said: Nina simsung nikiweka charge hata ikae masaa kumi haingizi charge na cjui kwa nn Click to expand... Samsung gani ?
kenji pressident said: Nina simsung nikiweka charge hata ikae masaa kumi haingizi charge na cjui kwa nn Click to expand... Samsung gani ?
Pythagoras JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 2,334 Reaction score 6,121 Mar 4, 2018 #8 Aaaah mi nilikuwa naichaji asubuhi nikaikuta imejiweka safe mode, yaani hamna app ya kudownload inafanya kazi, nimejaribu kila njia hadi nikaiflash ndo ikakaa sawa na siku hiyo hiyo nikauza
Aaaah mi nilikuwa naichaji asubuhi nikaikuta imejiweka safe mode, yaani hamna app ya kudownload inafanya kazi, nimejaribu kila njia hadi nikaiflash ndo ikakaa sawa na siku hiyo hiyo nikauza