J Jotu JF-Expert Member Joined May 8, 2012 Posts 444 Reaction score 311 Oct 9, 2016 #1 Habari wana JF simu yangu inapata moto sana hasa ninapotumia mitandao au hata ikiwa mfukoni tu. Nimejaribu kudownload appl ya kupoza lakini doesn't work. Hii ina athari gani? Nini cha kufanya kuondoa hali hiyo?
Habari wana JF simu yangu inapata moto sana hasa ninapotumia mitandao au hata ikiwa mfukoni tu. Nimejaribu kudownload appl ya kupoza lakini doesn't work. Hii ina athari gani? Nini cha kufanya kuondoa hali hiyo?
G Gilbert Clavery JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 438 Reaction score 363 Oct 9, 2016 #2 Nenda kwenye mabranch yao watakusaidia...au uwe unanua barafu ya kuipoza