Jamn mwenye uelewa a google account anisaidie. Kila nikijarbu kijisajili niagoma kunituma verification code toka mwaka juz mpaka jana haijaniruhusu kabisa kutumia hiyo google account kias kwamba kuna baadh ya mambo cwez kuyafanya kupitia simu yangu,
Natumia samsung glaxy A7.
Mwenye kujuwa hilo tafdhalini sana wana jf.
Natumia samsung glaxy A7.
Mwenye kujuwa hilo tafdhalini sana wana jf.