Salam wakuu nina samsung tab model GT P 6800 imevunjika kioo lakini inadisplay vizuri nataka kubadilisha hicho kioo niwapi naweza pata kioo kipya na nani bei gani na wapi kunafundi mzuri wakubadilisha wengi nimewapelekea wameshindwa ni mafundi njaa.Natanguliza shukrani zenu wakuu.