Msaada: Samsung galaxy s, note na tab

Msaada: Samsung galaxy s, note na tab

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
Wakuu, habari ya mchana
Nimepitia thread mbalimbali humu katika kipindi hiki ambacho nataka kununua simu nzuri kwa ajili ya kunipa tafu katika mambo ya ofisi hasa ninapokuwa mbali na ofisi na wakati ambapo sihitaji kusafiri na laptop. Nimegundua kwamba simu nzuri ni za samsung ingawa mimi nilipenda sony xperia maana niliziona pale mlimani city zinauzwa sh. 480,000. Tatizo linakuja pale ninapokutana na samsung s2/3/4, note na tab. Nini tofauti yake? nichukue ipi itakayonisaidia yafuatayo
-portability
-fast internet
-user friendly
-kutunza charge
-video conference
KARIBUNI
 
Kama simu na unapenda kupiga picha chukua Samsung S3,na kama tablet ,za Tablet za Samsung aina yoyote ipo poa,ila hakikisha inakuwa ni 3G ,ukubwa wowote kati ya inch 7 au 10
 
Back
Top Bottom