Msaada samsung galaxy s advance

Msaada samsung galaxy s advance

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
657
Reaction score
733
Wana jf
Nahitahi msaada nina samsng s advance ilikuwa na tatizo la charging system akaitengeneza ikapona ila likazaliwa tatizo jingune usb cable haisomi pia haiwezi kucharge ikiwa imezima.Ukichomeka charger lazuma itajiwasha kwanza ndo itaanza kucharge .Pia betri ikiwa imeisha kabisa haicharge. mpaka uweke kwenye kobe ipate pate charge asilimia kadha ndo uweke kwenye simu
Nahitaji kuujua tatizo hapa ni nini hasa na mengine yanayoambatana na hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom