naomba mnishauri jamani kati ya hizi simu mbili...galaxy ace ina camera kubwa na ina flash ila chat ina only 2 mp na haina flash lakin ina internal memory kubwa. naomba kwa wataalam mnishauri niende wapi kwani natakiwa kuamua kabla ya kesho na nikp na utata sana hapa. naomba mnipe na details nyingne za hizi simu kwa waliowahi kuzitumia
ahsanteni