poposindege JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 456 Reaction score 175 Jul 29, 2013 #1 wakuu hiyo simu leo niliizima kuiwasha tu inanida password hali ya kuwa mimi sijaweka.Naombeni msaada wenu wa kui unlock. please
wakuu hiyo simu leo niliizima kuiwasha tu inanida password hali ya kuwa mimi sijaweka.Naombeni msaada wenu wa kui unlock. please
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 4,070 Reaction score 3,517 Jul 29, 2013 #2 Mrudishie mwenye nayo...... Isije kuku umbua
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,862 Jul 29, 2013 #3 Tumia hii 0000 ikigoma iformat simu kwa kutumia mojawapo ya codes zifuatazo: *2767*3855# au *2767*2878#. Kisha ingiza 0000 kuifungua.
Tumia hii 0000 ikigoma iformat simu kwa kutumia mojawapo ya codes zifuatazo: *2767*3855# au *2767*2878#. Kisha ingiza 0000 kuifungua.
poposindege JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 456 Reaction score 175 Jul 29, 2013 Thread starter #4 tatizo * haibonyezeki hapo ndipo nilipochemka msaada zaidi
poposindege JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 456 Reaction score 175 Jul 29, 2013 Thread starter #5 mkuu nimeshindwa kwenye hii (*) haibonyezeki ukibonyeza hakuna kitu.Yaani ni namba tu ndo zinazokubali CORAL said: Tumia hii 0000 ikigoma iformat simu kwa kutumia mojawapo ya codes zifuatazo: *2767*3855# au *2767*2878#. Kisha ingiza 0000 kuifungua. Click to expand...
mkuu nimeshindwa kwenye hii (*) haibonyezeki ukibonyeza hakuna kitu.Yaani ni namba tu ndo zinazokubali CORAL said: Tumia hii 0000 ikigoma iformat simu kwa kutumia mojawapo ya codes zifuatazo: *2767*3855# au *2767*2878#. Kisha ingiza 0000 kuifungua. Click to expand...
tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Jul 30, 2013 #6 poposindege said: View attachment 104748tatizo * haibonyezeki hapo ndipo nilipochemka msaada zaidi Click to expand... Ndo ivo wewe endelea tu ibonyeze mara moja afu endelea kubofya digit nyingine afu itazima so subiri mlaka itakapojiwashaa mkuuu hao ndo samsung ukishindwa nipigie 0715304808 nikuelekeze online
poposindege said: View attachment 104748tatizo * haibonyezeki hapo ndipo nilipochemka msaada zaidi Click to expand... Ndo ivo wewe endelea tu ibonyeze mara moja afu endelea kubofya digit nyingine afu itazima so subiri mlaka itakapojiwashaa mkuuu hao ndo samsung ukishindwa nipigie 0715304808 nikuelekeze online