Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,163
Wakuu ni saidieni hii simu inajirestart yenyewe hasa baada ya kutumia kwa muda fulani
Hapana sijafanya ivyoUmejaribu Ku factory reset?
Sawa mkuu. NashukuruFactory reset hiyo simu
may be it's just a bug in your phone, Kama tatizo litaendelea baada ya Ku factory reset basi akina Chief Mkwawa wanaweza kukusaidia kitaalamu zaidi. Jaribu ku factory reset ingawa itafuta kila kitu kwenye simu