Kkoo 585kHizo A series nadhan zna warranty ya muda fulan hebu jitahid uende kwa mawakala wao uulize
Kama umenunua vichochoron itakuwa shida
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Inaweza kuwa ina minor updates/software updates ndio mana inabehave namna hyoNdo tunaangalia uwezekano huo........labda kama ttzo lake linafixika
Naam mkuu akikwama aje tuendelee na mengine.Inaweza kuwa ina minor updates/software updates ndio mana inabehave namna hyo
Fanya kitu kimoja tafuta mtu akuunganishe na wifi alafu check software updates tatizo linaweza likaisha ikishindikana irudishe dukani
Naam kiongoziNaam mkuu akikwama aje tuendelee na mengine.
Vinginevyo arudishe dukan na risit yake tu ili akapewe nyingine
Yes nahis ivoo maana shida imekuja ilipozima kabsa (chaji 0%)........Inaweza kuwa ina minor updates/software updates ndio mana inabehave namna hyo
Fanya kitu kimoja tafuta mtu akuunganishe na wifi alafu check software updates tatizo linaweza likaisha ikishindikana irudishe dukani
Basi fanya hard resetKureset haiwezekan maana haifunguki
Aise kama wamekupa warranty irudisheKkoo 585k