Msaada: Sabufa yangu inanguruma tu, tatizo ni nini?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,770
Hili tatizo limeanza majuzi tu

Sabufa langu main speaker inanguruma

Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?

Je, tatizo ninini?

Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra tu lakin kuna siku nilizidisha volume hadi mwisho likanguruma sana hapo ndo ikazid kunguruma sasa hv ndo imekua changamoto yake...mziki unapga but ule mngurumo wa spika yake kubwa ndo unakera...ukiweka Pause ule mngurumo unaendelea tu.

Wajuzi hili tatizo ninini?
 
Hili tatzo limeanza majuzi tu

Sabufa langu main speaker inanguruma

Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?

Jee tatizo ninini?

Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra tu lakin kuna siku nilizidisha volume hadi mwisho likanguruma sana hapo ndo ikazid kunguruma sasa hv ndo imekua changamoto yake...mziki unapga but ule mngurumo wa spika yake kubwa ndo unakera...ukiweka Pause ule mngurumo unaendelea tu...

Wajuzi hili tatizo ninini?
Ukubwa wa sauti ya sabufa ndio ukubwa wa umaskini wa mmiliki
 
Kwani inahusu nini mnajifanya high class kumbe ndo wale wale kwa hilo kila mtu jf ana home theatre za laki 9 si ndio?

Stop faking your life dogo....
Brand gani maana usije kua unasumbua watu hapa kumbe bufa lenyewe ni PINETECH...
 
Nafikiri unahitaji kuipeleka kwa fundi akaangalie kuna tatizo gani.
 
Hili tatizo limeanza majuzi tu

Sabufa langu main speaker inanguruma

Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?

Je, tatizo ninini?

Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra tu lakin kuna siku nilizidisha volume hadi mwisho likanguruma sana hapo ndo ikazid kunguruma sasa hv ndo imekua changamoto yake...mziki unapga but ule mngurumo wa spika yake kubwa ndo unakera...ukiweka Pause ule mngurumo unaendelea tu.

Wajuzi hili tatizo ninini?
Mpelekee ndugai. Wote ndugu baba moja. Atajua tatizo la nduguye. Ni ma-subwoofer yote. Yanakoroma bila mantiki mpaka kero!
 
Peleka kwa fundi akaitizame zaidi kama una warrant unaweza rudisha dukani pia.
 
Hili tatizo limeanza majuzi tu

Sabufa langu main speaker inanguruma

Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?

Je, tatizo ninini?

Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra tu lakin kuna siku nilizidisha volume hadi mwisho likanguruma sana hapo ndo ikazid kunguruma sasa hv ndo imekua changamoto yake...mziki unapga but ule mngurumo wa spika yake kubwa ndo unakera...ukiweka Pause ule mngurumo unaendelea tu.

Wajuzi hili tatizo ninini?
Msosi babu au uchovu. Inakuwa imechoka au ina njaa...wewe mwenyewe ukiambiwa uimbe wakati wote sidhani kama utaweza. Utafikia hatua utakuwa unanguruma tu.
 
UNASHINDWA KUSHAURI ACHA MAMBO YA SIRIAS UNALETA UTANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom