Naomba Msaada, Sabufa yangu inanguruma sana hadi kero

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hili tatizo limeanza majuzi tu

Sabufa langu main speaker inanguruma

Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?

Je, tatizo ninini?

Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra tu lakin kuna siku nilizidisha volume hadi mwisho likanguruma sana hapo ndo ikazid kunguruma sasa hv ndo imekua changamoto yake...mziki unapga but ule mngurumo wa spika yake kubwa ndo unakera...ukiweka Pause ule mngurumo unaendelea tu.

Wajuzi hili tatizo ninini?
 
Mkuu nazani ingekua poa tujue model ya subwoofer pili ungeweka ata picha yake maana hizi subwoofer zina matoleo mengi kwa sasa tofayti na zile za zamani zilikua na solutions rahisi.
 
Mkuu nazani ingekua poa tujue model ya subwoofer pili ungeweka ata picha yake maana hizi subwoofer zina matoleo mengi kwa sasa tofayti na zile za zamani zilikua na solutions rahisi.
Ni sampo hizi
FB_IMG_1637177266989.jpg

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
haya madude likianza huo uduanzi ni kama linaomba kustaafu,ukianza kulichokonoa litakuchosha tu.
 
Alafu utakuta wewe ni jirani mpangaji mwenzangu ,kutwa nzima mkeo anapiga mikelele ya taarab na singeli

Siku za weekend ninapopata kujipumzisha na familia na wewe unakuja na vibongo flava vyako kwa sauti ya juu,nashukuru maombi yametimia...

Soon nitahamia kwangu, nadhani utapata suluhu humu ili uendelee na makelele yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom