Msaada Research Proposal title undergraduate...

Mwl Mkwaya

Member
May 20, 2011
68
7
Naomba msaada wa simple Research Proposal title hata kama mtu anayo na research kamili yake sio mbaya nipate muongozo ...BA Education
NB:I hate Copy and Paste
 
Acha ukilaza, nenda library ukasome uunde/utunge title yako mwenyewe! Hiyo unayoomba unataka ukabandike jina lako mwenyewe juu yake halafu u-submit?
Bora hatujui chuo unachosoma!
 
Sasa Mwl. Mkwaya ushasema simple research proposal sasa msaada wa nini tena? We mwal. wa nini kwani? Kwaya? Then hata kama mtu angetaka kukusaidia sasa proposal ihusu nini maana hujataja hata research area yako.
 
Unasoma kozi gani? Ungependelea kutafiti kuhusiana na nini? Research Proposal Title ni nini? Una maana Research Title? Una muda gani wa kufanya hiyo research? Jieleze vizuri kama msomi...
 
Nimepeleka title kama 10 zote zinapanguliwa, ndo labda nauliza msaada walionitangua research imbayo easy to be done ambayo iwe relevant na jamii yoyote ya tanzania, mada yoyote inaruhusiwa..
 
Naomba msaada wa simple Research Proposal title hata kama mtu anayo na research kamili yake sio mbaya kimjinimjin...undergraduate!
Mkuu katika Field ipi ili tuangalie jinsi ya kukusaidia, maana huonyeshi unataka katika nyanja gani hiyo Simple Research Proposal title ijikite. Niko tayari kukusaidia.
 
BAED, utafiti juu ya masuala yoyote yanayohusu jamii, labda vijana na ukimwi,tumepewa uhuru wa kufanya utafiti mada yoyote niwezayo! Yeah nna maana ya research title, kwanza inahitajika proposal, kabla mwezi 12 proposal iwe tayari, research kabla Feb 2013...
Sooth umenipata!
 
we mjita gani hata hujui unachosoma? aibu sana hata topic inakushinda/ OK LABDA INAWEZEKANA, hata hujui ni eneo gani ungetaka kutafiti?
 
Wewe kilaza ebu ongea na supervise uone mnaendaje, leo unanunua proposal, kazi utanunua, kutakuwa na productivity hapo? We kilaza utaweza kushindana na Wakenya kwenye labour ndani ya Jumuiya ya EA ebu acheni kutuhaibisha, kunjua msuli dogo usilete useule wako hapa. (Seule ni mvivumvivu kwa vocabulary ya JKT)
 
Mkuu katika Field ipi ili tuangalie jinsi ya kukusaidia, maana huonyeshi unataka katika nyanja gani hiyo Simple Research Proposal title ijikite. Niko tayari kukusaidia.

Nachukua EDUCATION, just tunatakiwa tufanye research ya chochote juu ya masuala ya kijamii, kila title inakataliwa so nipo dilema tu..kila idea ninayo ipanga nikiangalia mbele naona research yake inakuwa ngumu
 
Wewe kilaza ebu ongea na supervise uone mnaendaje, leo unanunua proposal, kazi utanunua, kutakuwa na productivity hapo? We kilaza utaweza kushindana na Wakenya kwenye labour ndani ya Jumuiya ya EA ebu acheni kutuhaibisha, kunjua msuli dogo usilete useule wako hapa. (Seule ni mvivumvivu kwa vocabulary ya JKT)

Nimepeleka title kama 10 zote naambiwa zimewahi kufanywa! I just need suggestions on titles, ambayo itadeal na jamii..just title
 
we mjita gani hata hujui unachosoma? aibu sana hata topic inakushinda/ OK LABDA INAWEZEKANA, hata hujui ni eneo gani ungetaka kutafiti?

Kuuliza si ujinga...!! Najua JF kuna wasomi na kina sie wazembe! Nasoma Education...utafiti wangu unataka niiguse jamii na masuala yake vyovyote vile..if u can nisaidie...
 
Naomba msaada wa simple Research Proposal title hata kama mtu anayo na research kamili yake sio mbaya kimjinimjin...undergraduate!

Hicho chuo unachosoma hakina hata thesis/dissertations kwenye maktaba. Leta hizo 10 tukusaidie kunyoosha. Ila usiwaze wizi kabisa. Hautatoboa. Maana kuna plagiarism software siku hizi
 
Nimepeleka title kama 10 zote zinapanguliwa, ndo labda nauliza msaada walionitangua research imbayo easy to be done ambayo iwe relevant na jamii yoyote ya tanzania, mada yoyote inaruhusiwa..

Nakushauri hii nzuri na itatusaidia sana wenye kiu ya kujua chanzo hasa cha tatizo kama la kwako ni nini:

The Inefficiency and Plagiarism of higher education researches: A case study of (bandika jina la chuo chako ambacho huenda ni TEKU) University
 
Nyingine hii: 'Challenges facing Secondary school teachers in performing their duties'. A case study of ............chagua shule yeyote ya sekondari.
 
Wewe kilaza ebu ongea na supervise uone mnaendaje, leo unanunua proposal, kazi utanunua, kutakuwa na productivity hapo? We kilaza utaweza kushindana na Wakenya kwenye labour ndani ya Jumuiya ya EA ebu acheni kutuhaibisha, kunjua msuli dogo usilete useule wako hapa. (Seule ni mvivumvivu kwa vocabulary ya JKT)

SEULE = SELULE!!! According to Mgambo JKT.....
 
Research maana yake ni pamoja na kujua kutafuta research title, research references and how to documents. Kama hujui kutafuta title then anza sasa kujifunza ni fursa pekee ya kwako kuweza kuelewa. Siyo kukimbilia kwenye final stages!! All the best
 
Huyo anaekuambia title unazopeleka zimeshawahi kufanywa ni nani? Hebu nipe namba yake nimhoji maswali. Kama ni supervisor hajui 97% ya research title tunazochagua zimeshafanywa hapa duniani sisi ni kuendelea tu pale walipoishia. Anataka hiyo topic mpya uitoe wapi!mbinguni! Kazi mojawapo ya supervisor ni kukuchagulia topic mwambie akupe topic.

Back
Top Bottom