Msaada kwa wenye kujua tatizo hili kwa balckberry, nilikuwa na download nimbuzz nilipomaliza ikaniambia ni restart phone, baada ya ku irestart haiwaki tena, ikiwaka ikifika kwenye initialising inasema 'RELOAD SOFTWARE :552' naomba msaada kwa mwenye kujua ufumbuzi wa tatizo hili