Mkuu hiyo hutokea kwa sababu jina la chuo ni tofauti na jina la form4 ulilotumia. Mfano jina lako ni Alex Chacha Marwa, lakin kwa utaratibu wa chuo huwa unaanza na jina la mzazi yani Marwa Alex C. Hapo ndo inaleta utofauti, kwa Msaada zaid scani cheti cha form4 na diploma(kama unacho) au transcript ya matokeo then watumie kwa email yao. Ila kukutoa wasi wasi, huwa inasumbua lakin baadae hukubali. Ikishakubali basi utaanza kuchagua vyuo. Asante