Wadau hasa wale wa Dsm,naomba kujuzwa kwa wale wanaojua ni wapi naweza pata huduma ya rangi za kupuliza rangi kwenye furniture kwa kutumia compressor hasa kwa maeneo ya Mbezi,Mwenge,Ubungo,mpaka Temeke naomba anijulishe ni wapi nitapata huduma hiyo!asanteni