Km 4 - 5
Km 4 - 5
basi mi nilidhani hiyo lita 1 ni kwa ajili ya kuwasha tu!!kumbe unatembea kabisa...!!!!5 mpka 7 inategemea na gari......
chkua tu gari hilo lko vry comfotable
5 mpka 7 inategemea na gari......
chkua tu gari hilo lko vry comfotable
jeep iko poa tu nayo mkuu
Kwa nini usinunue baiskeli tu?
Huwa haitumii mafuta kabisa...
Model gani?Kuna vitu haviendani kwa kweli.
Mfano kuulizia Range 'hivi haili mafuta eeh'
Huwezi pata performance of a big car kwa cost za boda. Tujifunze kukua kwanza halafu ndio tufanye mambo ya wakubwa.
BY the way hatujaachana sana. Mi nnaulizia bei zake zipoje hadi kuimiliki?? Sh ngapi?