Inawezekana ila nyumba ndogo. Itategemeana na mahitaji ya nyumba unayohitaji.
Kwa mfano nyumba ndogo ya vyumba vitatu,sebule,dining,kitchen,store na public toilet inahitaji appr. 120-150 square metres( hapo umeibana),kumbuka pia inabidi kubaki na space nje. Ukiwa na kiwanja kidogo cha angalau 400 square metres kinatosha.
Ukipata Architect ,Civil engineer au mfundi mzoefu ukampa requirements zako anaweza ona jinsi ya kukusaidia with such limited area.