G gibasisi JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 598 Reaction score 642 Oct 15, 2019 #1 kwa wiki 2 sasa nimeweka protector 2 ktk hii simu lakini zinabanduka baada ya siku chache tu,naombeni msaada wapi nitapata mtaalam au protector original za simu hii.nipo dsm
kwa wiki 2 sasa nimeweka protector 2 ktk hii simu lakini zinabanduka baada ya siku chache tu,naombeni msaada wapi nitapata mtaalam au protector original za simu hii.nipo dsm
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,688 Reaction score 2,982 Oct 15, 2019 #2 Mimi nimeitoa kabisa, ni zaidi ya mwaka natumia hivi hivi. Anyway tafuta ile protector meni inayokaa juujuu. Hizi zinazofunika Edge zinasumbua sana
Mimi nimeitoa kabisa, ni zaidi ya mwaka natumia hivi hivi. Anyway tafuta ile protector meni inayokaa juujuu. Hizi zinazofunika Edge zinasumbua sana
G gibasisi JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 598 Reaction score 642 Oct 15, 2019 Thread starter #3 yaani inakera sana hii simu ,kutumia bila protector nayo ni risk kubwa sana na kioo kilivyo na gharama kubwa Heisenberg said: Mimi nimeitoa kabisa, ni zaidi ya mwaka natumia hivi hivi. Anyway tafuta ile protector meni inayokaa juujuu. Hizi zinazofunika Edge zinasumbua sana Click to expand...
yaani inakera sana hii simu ,kutumia bila protector nayo ni risk kubwa sana na kioo kilivyo na gharama kubwa Heisenberg said: Mimi nimeitoa kabisa, ni zaidi ya mwaka natumia hivi hivi. Anyway tafuta ile protector meni inayokaa juujuu. Hizi zinazofunika Edge zinasumbua sana Click to expand...
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Oct 15, 2019 #4 Tafuta zile za Nillkin mkuu
G gibasisi JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 598 Reaction score 642 Oct 15, 2019 Thread starter #5 mkuu nazipata wapi hizo na bei yake ikoje kcamp said: Tafuta zile za Nillkin mkuu Click to expand...
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Oct 15, 2019 #6 gibasisi said: mkuu nazipata wapi hizo na bei yake ikoje Click to expand... Zinapatkana AliExpress huko..bei kuanzia 30 hadi 32
gibasisi said: mkuu nazipata wapi hizo na bei yake ikoje Click to expand... Zinapatkana AliExpress huko..bei kuanzia 30 hadi 32
dickdeo New Member Joined Jul 23, 2018 Posts 1 Reaction score 0 Dec 20, 2019 #7 Watafute nanofixit kupitia namba 0678704888 wanaweza kukusaidia tatzo lako kuhusiana na protector Sent using Jamii Forums mobile app
Watafute nanofixit kupitia namba 0678704888 wanaweza kukusaidia tatzo lako kuhusiana na protector Sent using Jamii Forums mobile app
G gibasisi JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 598 Reaction score 642 Jan 11, 2020 Thread starter #8 nilishasolve tatizo mkuu,nilipata protector yake sirari upande wa Kenya haijanisumbua tena hadi leo dickdeo said: Watafute nanofixit kupitia namba 0678704888 wanaweza kukusaidia tatzo lako kuhusiana na protector Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using galaxy s10+
nilishasolve tatizo mkuu,nilipata protector yake sirari upande wa Kenya haijanisumbua tena hadi leo dickdeo said: Watafute nanofixit kupitia namba 0678704888 wanaweza kukusaidia tatzo lako kuhusiana na protector Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using galaxy s10+