Hiyo inashangaza saana,kwani huwa ana print mwenyewe au ameajiri mtu?Kama vipi waweza kuta kuwa kuna mtu hu_print color while yeye anakuwa hayupo.
Ajaribu kuwaona HP Authorised Company pale Upanga wana -Expartise on HP Machines kuanzia Laptops,Servers,PC,and Printers
hawa jamaa wako karibu na njia ya kuingilia Mhimbili opposite na lile ghorofa jipya along United Nations Road karibu na U-CARE phamarcy wataweza masaaidia.