Msaada: Printer yangu aina ya EPSON L382 ina tatizo

Msaada: Printer yangu aina ya EPSON L382 ina tatizo

Record video ya sekunde chache kisha itume
 
Msaada wakuu printer yangu Epson l382 inawaka taa ya wino na paper na haifanyi chochote
Taa zote ZinaBlink kwa pamoja?
Kuna ujumbe gani kwenye status monitor kwenye computer?

Umeshaprint zaidi ya page 1000?
 
Check Paper kama zipo..
Check Wino kama upo/umekaa vzr

Check kama kuna Paper ambayo imenasia..

Toa wino kisha urudishie..

Ikigoma toa huo wino weka mwingine na ongeza karatasi.

Kama tatzo bado..

Disconnect waya unaopeleka taarif ktk Pc.. Izime hiyo printer ktk ile powe button yake .. ya PSU then Shikilia Power button/RESET button kwa Dk 1/2 HOLD......

Washa.. chek tena

Then angalia kama inafany kaz
 
Hii
epson_red_light_blinking_error.gif
 
Ingawa umeshindwa kusema kwenye computer inaleta ujumbe gani. Hiyo ni dalili ya Waste InPad kufikia mwisho wake. Hakikisha kama kwenye inaleta ujumbe huo kwenye Computer halafu uniambie nikupe Solution ya kuReset inkapd
Inaleta huu ujumbe
IMG_20201115_210137.jpg
 
Taa zote ZinaBlink kwa pamoja?
Kuna ujumbe gani kwenye status monitor kwenye computer?

Umeshaprint zaidi ya page 1000?
wananambia product ya ink pad imeisha service life
 
Back
Top Bottom