J johnhai Member Joined Apr 29, 2025 Posts 5 Reaction score 4 Apr 29, 2025 #1 Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair). Naomba kujua maswali yanakujaje na mda wanatoaga mda gani. Ahsante
Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair). Naomba kujua maswali yanakujaje na mda wanatoaga mda gani. Ahsante
Mbomozo JF-Expert Member Joined Dec 23, 2019 Posts 407 Reaction score 1,032 Apr 30, 2025 #2 johnhai said: Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair). Naomba kujua maswali yanakujaje na mda wanatoaga mda gani. Ahsante Click to expand... Weka duties and reponsibilities
johnhai said: Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair). Naomba kujua maswali yanakujaje na mda wanatoaga mda gani. Ahsante Click to expand... Weka duties and reponsibilities
J johnhai Member Joined Apr 29, 2025 Posts 5 Reaction score 4 Apr 30, 2025 Thread starter #3 Mbomozo said: Weka duties and reponsibilities Click to expand... Hizo apo chini: MAJUKUMU YA KAZI i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa vifaa vya tehama na kurekebisha ipasavyo; ii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa vya TEHAMA; iii. Kufanya matengenezo ya Miundombinu ya TЕНАМА; iv. Kuchukua hatua za kiusalama kulinda vifaa vya TEHAMA; v. Kukagua na kutambua vifaa vinavyohitaji matengenezo; vi. Kutoa huduma kwa watumiaji wa vifaa vya TEHAMA; vii. Kusimamia ukaguzi na ufungaji wa vifaa vipya vya TEHAMA; na viii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.
Mbomozo said: Weka duties and reponsibilities Click to expand... Hizo apo chini: MAJUKUMU YA KAZI i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa vifaa vya tehama na kurekebisha ipasavyo; ii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa vya TEHAMA; iii. Kufanya matengenezo ya Miundombinu ya TЕНАМА; iv. Kuchukua hatua za kiusalama kulinda vifaa vya TEHAMA; v. Kukagua na kutambua vifaa vinavyohitaji matengenezo; vi. Kutoa huduma kwa watumiaji wa vifaa vya TEHAMA; vii. Kusimamia ukaguzi na ufungaji wa vifaa vipya vya TEHAMA; na viii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.
John Sule Member Joined Feb 24, 2014 Posts 86 Reaction score 98 May 2, 2025 #4 AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II)MDAs & LGAs...
AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II)MDAs & LGAs...