Msaada post za walimu Mwakani

Massawe G. I

Senior Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
113
Reaction score
13
Kwa anayeweza kunisaidia mdogo wangu amemaliza Chuo kikuu Ualimu sasa natafuta mtu wa kumsaidia apangiwe nyumbani kwani wazazi wanamtegemea yeye. Nipotayari kwa gharama itakayo kuwa inahtajika Tuwasiliane.0755883313. A FREND IN NEED IS A FREND IN DEED
 
msnajo. Kule sifahamiani na yeyote ndo maana kama unae wakunisave i ll than for it much
 
Massawe G. I Wazazi gani wanamtegea huyo mdogo wako? kwani kutegemewa mpaka upangiwe nyumbani? mbona watu wapo MTWARA au LINDI na wanawasidia wazazi wao KILIMANJARO au KIGOMA, KAGERA au kwingineko. Mimi ningekuwa napanga ningempaka mbali na nyumbani kwake MOSHI nampanga KIGOMA au MTWARA
 
Last edited by a moderator:
maswi. Kiubinadamu sio sawa. Hakuna jambo baya kama kulazimisha mambo. Amani ni muhmu ili ufanisi uwepo. Akiwa pale Anataka itakuwa stress free na atafanya kazi na maendeleo yataonekana Mkuu
 
Akipangiwa nyumbani ahesabu maumivu mpaka kustafu kwake akitaka maendeleo ni bora apngiwe mbali na nyumbani. Halafu acha fix yaani mdogo wako ndiyo anategemewa na wazizi kwanini wewe wasikutegemee? Kama ni wewe sem tu.
 
Mkuu,m Kuna Mtu Alinfanyia Mishe Na Nkapagwa Mkoa Na Wilaya Nnayotaka,sa Ishu Ni Kukuunganisha Nae,ila Ntafte Ntakupa Contact Zake Labda Atakusaidia,ila Ni Afsa Mkubwa Wa Serkari,
 
Mtu kuwa mdogo wangu sio lazima Tuwe ni watoto wa baba mmoja mimi na Kazi Zangu Arusha A realy need your help
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…