Mkuu kazia kwenye pombe.Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?
Ingekuwa kutukana ni jambo zuri na lenye kusifiwa ningekutukana, kwa ufupi unaelekea kwenye uchizi yaani huwezi ukawa mtu mwenye akili timamu ukaona Pombe ni bora kuliko Mwanamke, hiki kiumbe ni vazi kwetu na sisi ni vazi kwao.Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?
Mimi napenda sana madem kma mkojaniSubiri ikushikishe adabu..utapenda tu wanawake
Pole yakoIngekuwa kutukana ni jambo zuri na lenye kusifiwa ningekutukana, kwa ufupi unaelekea kwenye uchizi yaani huwezi ukawa mtu mwenye akili timamu ukaona Pombe ni bora kuliko Mwanamke, hiki kiumbe ni vazi kwetu na sisi ni vazi kwao.
Hongera bro piga pombe, ata hivyo kunywa pombe sio zambi ila kuzini ni dhambiHabari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?
Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?