Msaada plzz

Mkuu si unaona aina za mada zinazoletwa humu na umri wa waanzilishi wa hizo mada!
Lakini hicho sicho kilichopelekea ukaandika hayo, hapo kuna sintofahamu fulani hivi umeniacha nayo. Au sio snowhite?
 
Last edited by a moderator:

Kama hamjuani bado ni poa tu,

Mie huwa naogopa aibu ya kumtongoza mtu wangu wa karibu au Bibi mwenyewe....

Ndiyo maana wengine tulishajistaafia...lol!

Babu DC!!
 
Duuuuuuuuuuu,

Itabidi nirudie kujifunza mahesabu...at 21, jamaa keshabadili magari.....arithmatically, at 70 atakuwa na mangapi??

Ila hiyo ya vidudu kufa baada ya kubadili GF ni nzuri sana,.. kwani itabidi watu wabaki na waanzilishi wenzao badala ya kusambaza matatizo mitaani!!

Babu DC!!
 
Humu majukwaani unaweza ukajikuta unatoa ushauri wa mapenzi kwa mtoto wako wa kumzaa.

Usitafute sababu kumsaidia mtu, toa ushauri wa mashiko kama unavyoweza kumshauri mtoto wako kuhusu haya mambo.
 
Mh dogo u got guts aisee...! Shikamoo mdogo wangu....:tape2::nono:
 
Thats why am never serious hapa jamvini. If you take me serious you are lost!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…