Msaada plzz

Ren g

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Mimi ni kijana mwenye miaka 21 nimekaa na mpenz wangu zaidi ya miaka minne..na katika faragha uwa nampa haki yake kisawasawa, lakin toka nimeachana nae kila nikichukua mwanamke mwngne mashne yang inagoma kusimama sijui tatzo ni nn? Lakn kila nikimuwaza yy mashne inasmaa vizur tu..msaada jaman
 
Kwa nini umeachana nae? Hiyo amshine unaipaga likizo jamani?
 
Nimeachana nae kwa sababu kuna baadhi ya mambo tumeshndwa kuendana sawa...mashne naipa likizo aisee
 
Dogo ulianza mdogo mno na miaka kumi na saba? Iliioverwork mashine sasa iache ipumzike itaamka tu, usiogope ila pumzika kama miaka minne tena ukilipia umri ulioanza haya mambo ya wakubwa.
 
Basi ukiwa unakutana na hao mademu weka picha yake kwenye mind yako.lol!
 

au kaenda kwa bibi yake? angalia dogo
 
Ni kweli nilianza nae mahusiano mapema coz tunalingana umri wasi wasi wangu ni kwamba kwann nikiwa na yeye mashine yangu inakua imara muda wote na nikikutana na mtu mwngne inagoma? Au nina tatizo ndugu zangu
 
Tatizo ni wewe mwenyewe,ebu maliza shule kama tamu hiyo K usingeikuta...
 
Shule nimemaliza kidato cha sita na sasa nafanya kazi kampun binafsi...
 
Kwa maisha haya watoto wetu wanasoma shule au wanajifunza mapenzi? Miaka 21 ya kuzaliwa mpenzi umekaa naye miaka minne! Someni kwanza mapenzi hayaishi duniani.
 
Tangu ukiwa na miaka 17 ?? I cant believe but no way out, ndo watoto wa digital concord. ENDELEA NA KUPIGISHA MASHINE KWENYE MATOPE AT THE END UTAKIPATA UNACHOKITAFUTA-WE SI UNADHANI NI UFAHARI!
 
Ulianza mapenzi ata mfumo wako wa uzazi haujakaa sawa, ulikua unapiz mate au?
Nilijua jogoo hawiki kabisa.. kumbe ukimuwaza anawika basi huna tatizo.. tafuta demu mzuri zaidi yake tuu..
 

mrudie!!!
 
Humu majukwaani unaweza ukajikuta unatoa ushauri wa mapenzi kwa mtoto wako wa kumzaa.

si nilisema mimi mchana!
yani walahi unaweza kukomaaa mishipa ya shingo na vidole vinakuwa na sugu plus kumaliza wino wa veyboard wlahi unamwambia mwanao wa kumzaa,
unabaki ''enh sasa mkuu hapo inabidi ujitahid kufanya mara kwa mara,manake haya mambo yanataka kujiandaa kimwili na kiakili,enh hata style pia muwe mnabadilisha sio kila siku ile ile!halafu jaribu kuwa mbunifu na mwambie mpenzi wako nae asiruhusu mzoee!"
kudadadeki!nabadili ID muda si mrefu nakuja na verified user!
CC Asprin, @fp, gfsonwin, Kaunga Dark City , Kongosho , King'asti Kaizer The Boss na wengine woooote wenye watoto wenye kuelekea huu umri wa ubarobaro na ucheksister!
dah! Ndibalema umenifikirisha sana i see!:A S 39:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…