Anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?hali hio alikuwa nayo tangu mwanzo au imeanza ghafla?habar..wana jf? Najitokeza kwenu kuomba msaada nina mpenzi wangu anasumbuliwa na tatizo la kuvurugika kwa siku za kupata hedhi....je nn tiba yake na madhala yake...asante!!