mie kwenye haya mambo ya teknolojia si mzoefu sana, nataka kununua hivi vilaptop vidogodogo, ktk window shopping niliona hp, dell na sumsung (2gb ram na 320gb hard disk kwa zote), ktk hiz ipi ni imara? ukinipa na sababu itakuwa vizuri pia (kwa level yangu ya IT specification naishia hapo, kama waweza kunipa specification nyingine muhim za kucheck kabla ya kununua pia itakuwa bomba)

Hi lady N.
Uimara sio wa brand tu bali model. Japo generally kuna brand nyingine kama dell zinasifika lakini kuna model fulani fulani za brand hizo zinaweza kuwa zina design defect. Baadhi ya model za Hp na Dell ukisoma reviews za watumiaji kadhaa zina matatizo ya power supply kwenye ubao mama( Mother board) na hivo kusababaisha laptop kujizima zima .

Hiyo haimaanishi samsung kuwa ni imara.
Kwa hiyo ushauri wangu wa awali
- Tambua kwanza model ya kila aina ya brand ulizoona au ulizopenda au zene bei unayoweza. Mfano HP NX9600 Dell Insipiron
- Soma review za kila model kutoka kwa wadau mbalimbali mtandaoni.Au weka majina ya model zako tukuwekee copy and paste au link ya reviews za wadau mbali mbali
- Fanya maamuzi.
NB
Kwa haraka haraka kama uimara ni kigezo cha muhimu sana ukiondoa Dell uliyoweka Jaribu kudodosa na model za Toshiba.
Vile vile Matumizi ya laptop yanaweza yakaongeza au yakapunguza uimara wa kitu kulingana na specs zake.
Kama ni kwa ajili ya matumizi ya shule na mtumiaji ni mtu mmoja nahakika laptop yeyote utakayochukua katika hizo itakuwa imara . Assuming zote zitakuwa zina processing capacity sawa sawa.
Lady N tunaweza kufanya doorshopping tena na mtazamaji kama uko tayari. Hiyo ni volunteeer tena kwako tu.

na kingine cha kuongezea usichukue laptop ambazo zina pumulia kwa chini au feni yake ya kupoza isiwe inavuta hewa kwa chini maranyingi toshiba ana feni yake inapumulia kwa pembeni na haipati moto na hainyonyi vumbi kirahisi hizo ni toshiba na dell na huo ndio chanzo kikubwa cha ugonjwa kwa laptop unakuta laptop inapumulia kwa chini halafu mtu anaiweka juu ya kitanda au kochi kwa muda mrefu
Mkuu Unaweza kuwa sahihi lakini unaona na wewe mwenyewe unasema huna uhaika kama dell na HP wana Mini laptop lakini mleta mada anasema katika "dirisha la mununuzi"( Windows shopping )alilofanya aliona/ alipenda Dell, HP na samsung . Je zote hizo zilikuwa min laptop?Mkuu kama nimemuelewa vizuri mtoa mada amesema mini laptop! Hivi Dell,Toshiba na HP wameshatoa mini laptops kweli?
wakati tunaendelea n mjadala naomba utupe taarifa zaidi zinazoweza kumsaidia mleta mada . Unaweza kutumbia hiyo mini laptop ya asus ni model gani na kuikamata unatakiwa uwe na kadiriao la laki ngapi?........
Ndugu mtoa mada kwa experience yangu kiduchu nimetokea kuiamini sana mini laptop ya ASUS kwanza kwa uwezo wake wa kuhifadhi chaji na kutokuwa na usumbufu/matatizo ya mara kwa mara. Nina mwaka wa 3 sasa naitumia mini laptop ya ASUS na sijawahi kuface tatizo lolote kubwa la kiufundi! Binafsi napendekeza ASUS!
Teh teh teh leh Mkuuu leh Aksante sana. Katika dunia hii ya TEHAMA location ya mtu haitakwii kuwa kikwazo. Hiyo soda nirushie tu kwenye MPesa,Tigopesa au Airtelmoney..... Tupo pamojamkuu kama upo Dar unijulishe nikirudi nikununulie soda, kama upo atown, ndo uniambie siku ya leo. kila siku najaribu kuwaeleza watu wa hapa jamvii kuwa hamna brand inazidi brand nyingine lakini wap. nafurahia kuona una uelewa kama mimi