Msaada plz

Msaada plz

Mwemary

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Posts
330
Reaction score
340
Jamani naomba mnisaidie huu mkanganyiko kwani nimeshachanganyikiwa.Nacte mpaka sasa hawajafungua udahili kwa upande wa undergraduate siku ambayo wanafungua nacte, loan bodi wanafunga maombi ya mkopo sasa cjui nifanyeje nimeshachanganyikiwa na sijajua nacte kama watakuja na mtindo wa above 3.5 GPA. Jeniwachangie tu loans bodi?
 
Back
Top Bottom