mwambie umepata hostel katafute chumba upange
Ndugu vumilia hakuna lisilokuwa na mwisho, jifunze kutokujali chochote watakachokufanyia kisikuumize kichwa wao wenyewe watachemka na punguza muda wa kukaa home kama uko chuo tumia muda mwingi kuwws chuo
Mtakuwa pia mnashindwana kwenye kazi za nyumbani.....najua mara nyingi ndipo chokochoko zinapoanziaga hapo.
Anataka aishi kama yuko hotelini.
Kama aliweza kuvumilia miaka yote hiyo anashindwaje sasa wakati soon atamaliza chuo? JASX street maisha sio rahisi kama unavyofikiri,hala hala usinyee kambi tu.
Ni ngumu kuishi na watu kama sio mvumilivu ma d......alipotoka ni mbali lakin anapokwenda nikaribu sana.
Jitume mamito,najua kusoma kunahitaji muda sana lakin kazi za nyumbani usikose.....sio kisa unasoma hata kuosha kikombe bas unasingizia assignment.
NB;kupanga si lele mama dogo,ingawa yawezekana visharo vimeanza kukuzengea.....wanakupenda kwakuwa upo kwa uncle ila ukitoka hapo hawana ubavu wakukuhudumia zaid wakujaze mimba basiiii!!!!
Nahisi pia kuna kawivu hapo anaonekana binti yuko vizuri hadi kafika chuo, hatujui hao wandugu wana-perform vipi masomoni !!!!Mtakuwa pia mnashindwana kwenye kazi za nyumbani.....najua mara nyingi ndipo chokochoko zinapoanziaga hapo.
Kama unahisi utaweza kujilipia pango basi mwambie uncle kwamba shule ya mwaka wa pili ni tafu balaa bila ya kukaa hostel basi mambo yatakua magumu, lakini ukisema umshirikishe katika hela ya pango hapo mtashindwana bureee!!!!Habari ya jioni wana jf. Naomba ushauri. Naishi kwa uncle ambaye ni kama baba yangu kanisomesha toka primary mpaka chuo first year namshukuru kwa hilo sana. Nimeishi nae kutoka 2006 mpaka sasa miezi ya likizo. Uncle hana tatizo lakini kuanzia shangazi, ndugu yake shangazi na wasichana wake wa kazi wamenifanya nichoke kabisa kuishi pale. Nimemwambia uncle kuwa maisha ya pale kwake yamenishinda nataka nikaishi sehemu nyingine tofauti na pale. Kanijibu mtoto wa kike haachi wazazi wake na kupanga pia dharau.
Habari ya jioni wana jf. Naomba ushauri. Naishi kwa uncle ambaye ni kama baba yangu kanisomesha toka primary mpaka chuo first year namshukuru kwa hilo sana. Nimeishi nae kutoka 2006 mpaka sasa miezi ya likizo. Uncle hana tatizo lakini kuanzia shangazi, ndugu yake shangazi na wasichana wake wa kazi wamenifanya nichoke kabisa kuishi pale. Nimemwambia uncle kuwa maisha ya pale kwake yamenishinda nataka nikaishi sehemu nyingine tofauti na pale. Kanijibu mtoto wa kike haachi wazazi wake na kupanga pia dharau.
Nahisi pia kuna kawivu hapo anaonekana binti yuko vizuri hadi kafika chuo, hatujui hao wandugu wana-perform vipi masomoni !!!!