Bravo Engliash
Senior Member
- Jul 29, 2012
- 130
- 56
Wadau mwenye taarifa kuhusu nafasi za LAPF - COMPLIANCE OFFICERS (advertised on May 22, deadline June 06, 2013), wameshaita interview?
Me nadhani bado lakini tuzidi kumuomba Mungu tuwemo...Je kuhusu TRA vp?😛layball:
Bado hawajaita.
Me nadhani bado lakini tuzidi kumuomba Mungu tuwemo...Je kuhusu TRA vp?😛layball:
Itakuwa bado maana hawajanipigia..!
Bado hawajaita,mi mwenyewe niliomba pale
Hiyo kawaida sana.Huwezi kushangaa ukikuta tayar nafasi zishachukuliwa
Sio LAPF walitoa mkuu waliotoa ni PSPF