Binafsi kauli ya TUCTA sioni kama inaniwakilisha mie km mfanyakazi wa Umma. Kiuhalisia katika mambo ambayo nilitarajia TUCTA ifanye si la kunishawishi nani awe kiongozi wangu bali kutetea maslahi na ustawi wa wafanyakazi kwa njia sahihi. Kwa mtindo huu TUCTA inataka kujipa wajibu wa kutuchagulia viongozi bila kujali kuna baadhi wanaridhishwa na utawala uliopo na kuna wengine kwao siasa ni upuuzi.
Msaada wangu ni kwamba hivi TUCTA wapo accountable kwa nani? Je, ni lazima mtumishi yoyote wa UMMA awe mwanachama wa chama cha wafanyakazi hata km aridhishi? Je, mtumishi huyo anaweza kuswitch kutoka chama kimoja kwenda kingine kwa hiari yake bila kizuizi chochote. Maana siamini km makato yangu kwenye mshahara yanafanya kazi niliyokusudia.
Binafsi kauli ya TUCTA sioni kama inaniwakilisha mie km mfanyakazi wa Umma. Kiuhalisia katika mambo ambayo nilitarajia TUCTA ifanye si la kunishawishi nani awe kiongozi wangu bali kutetea maslahi na ustawi wa wafanyakazi kwa njia sahihi. Kwa mtindo huu TUCTA inataka kujipa wajibu wa kutuchagulia viongozi bila kujali kuna baadhi wanaridhishwa na utawala uliopo na kuna wengine kwao siasa ni upuuzi.
Msaada wangu ni kwamba hivi TUCTA wapo accountable kwa nani? Je, ni lazima mtumishi yoyote wa UMMA awe mwanachama wa chama cha wafanyakazi hata km aridhishi? Je, mtumishi huyo anaweza kuswitch kutoka chama kimoja kwenda kingine kwa hiari yake bila kizuizi chochote. Maana siamini km makato yangu kwenye mshahara yanafanya kazi niliyokusudia.
Ndugu yangu Marksman asante saana kwa kutoa ufafanuzi huo. Lakini pia naomba nikukumbushe kuwa mfumo wa Marekani ni tofauti na wa kwetu kiasi kikubwa saana. Mf Marekani ukiangalia hata kwenye kampuni shareholders wanasauti kubwa sana kuliko nchi nyingine yoyote namaanisha shareholders wako highly protected. Vivyohivyo kwenye suala la kazi mwajiri na muajiriwa wote wana haki na wajibu. Sasa ukija kwenye nchi kama zetu, tunapata shida saana kujadili swala la haki, wajibu lakini pia tukiangalia hali halisi ya kiuchumi, tukiondoa dhana nzima ya kisiasa. Mf. Sijaona manifesto ya chama cha kisiasa kinachoweza kulipa mshahara huo wa TUCTA km ipo watuwekee hapa na tuanze kuichambua. Nashawishika kuwaona TUCTA kuwa wamevamia siasa zaidi kuliko uhalisia na ndio maana nafsi yangu inanituma kuhamia kwa wale watakaokuwa wanatoa ufafanuzi wakihusisha na hali halisi. Tuache blah blah, tujadili ukweli tuweke tarakimu, tuainisha huduma zoote za msingi na hapo fact itapatikana.Mambo ya kujiunga au kutojiunga vyama vya wafanyakazi ni masuala ya hiari. Lakini faida moja ya vyama vya wafanyakazi duniani kote ni collective bargaining to the employer(s) and/or authority that regulates wages -- in this case -- the government. Hata ukijiunga na chama cha wafanyakazi, si lazima ukubaliane na maamuzi ya viongozi wake -- pamoja na wito wa kugoma -- kadhalika na huo wa kukuchjagulia kiongozi wa nci -- kama unavyosema. NI HIARI YAKO!!!!
Wao wanaelekeza tu. Aidha duniani kote ni vigumu sana kutenganisha vyama vya wafanyakazi na siasa za nchi na hii huonekana wazi wakati wa uchaguzi -- hata katika nchi zilizoendelea, hususan Marekani. Vyama vya wafanyakazi huchagua vchama gani cha siasa ikiunge mkono -- iwapo wakiona chama hicho kitawapa masilahi zaidi.
Naomba unielewe, sijawahi kukanusha kuwa mshahara ni mdogo la hasha! Lakini tatizo ninaloliona ni uwezo wa serikali kulipa pesa hizo na watu wengine kutaka kutuaminisha wafanyakazi kuwa na msimamo unaofanana. Binafsi natoafautiana saana na siasa za chama Tawala lkn kwa hoja ya TUCTA si sahihi. Pia kuna maswali ya msingi hapo juu nimeuliza, TUCTA wapo accountable kwa nani? Na nini hasa majukumu yao?Wewe ni mfanyakazi wa umma kivipi
- BOT nayo ni tasisi ya umma
Kwa hiyo inawezekana
- Wabunge nao wana haki ya kujiita watumishi wa umma
Madai yanaolezwa na TUCTA hayakugusi kwa kuwa ni kati ya wafanyakazi wachache sana wa umma mnaopata juu ya kile kinachodaiwa
Lakini hata kama hivi ndivyo
Demokrasia inasema wengi wape na Demokrasia inawaruhusu viongozi walichaguliwa kutumia busara zao kufanya maamuzi yenye faida kwa watu wao.
Ndio maana unaona mambo ya Richmond ,EPA, RADA. haimaanishi alichoamua Chenge ni mawazo ya watanzania achilia mbali wanasheria wote wa iliyokuwa Ofisi yake. Ni Demokasia iliyomchagua ndo ilimpa uwezo wa kuyafanya hayo. Cha kujiluza je alitumia Busara na Uzalendo?
Kwa hiyo kwa matamhi ya mgaya usiwe mbinafsi jaribu kuangalia ukweli halisi kwa asilimia kubwa ya wafanyakazi japo wewe yanaweza kuwa hayakuhusu.
__________________________________________________________________________________
Ukingalia Muunda wa TUCTA ni jumla ya vyama vya wafanyakazi wa aina mbali mbali, kuna chama cha wauguzi, madaktai, walimu, n.k Kwa hiyo kabla ya kuilaumu TUCTA ulitakiwa kujua Chama gani cha wafanyakazi ulitegmea kifanye nini.
Naomba unielewe, sijawahi kukanusha kuwa mshahara ni mdogo la hasha! Lakini tatizo ninaloliona ni uwezo wa serikali kulipa pesa hizo na watu wengine kutaka kutuaminisha wafanyakazi kuwa na msimamo unaofanana. Binafsi natoafautiana saana na siasa za chama Tawala lkn kwa hoja ya TUCTA si sahihi. Pia kuna maswali ya msingi hapo juu nimeuliza, TUCTA wapo accountable kwa nani? Na nini hasa majukumu yao?
mkuu afadhali tuvijaribu vyama vingine maana CCM kupitia mwenyekiti wao wa Taifa wamekiri wameshindwa kulipa hiyo mishaara hata iweje hawatalipa wafanyakazi kiasi hicho. pili ujasoma ilani za vyama vingine ndio maana unasema hivyo lakini viko wazi kuhusu maslahi ya wafanyakazi kwa ujumlaNdugu yangu Marksman asante saana kwa kutoa ufafanuzi huo. Lakini pia naomba nikukumbushe kuwa mfumo wa Marekani ni tofauti na wa kwetu kiasi kikubwa saana. Mf Marekani ukiangalia hata kwenye kampuni shareholders wanasauti kubwa sana kuliko nchi nyingine yoyote namaanisha shareholders wako highly protected. Vivyohivyo kwenye suala la kazi mwajiri na muajiriwa wote wana haki na wajibu. Sasa ukija kwenye nchi kama zetu, tunapata shida saana kujadili swala la haki, wajibu lakini pia tukiangalia hali halisi ya kiuchumi, tukiondoa dhana nzima ya kisiasa. Mf. Sijaona manifesto ya chama cha kisiasa kinachoweza kulipa mshahara huo wa TUCTA km ipo watuwekee hapa na tuanze kuichambua. Nashawishika kuwaona TUCTA kuwa wamevamia siasa zaidi kuliko uhalisia na ndio maana nafsi yangu inanituma kuhamia kwa wale watakaokuwa wanatoa ufafanuzi wakihusisha na hali halisi. Tuache blah blah, tujadili ukweli tuweke tarakimu, tuainisha huduma zoote za msingi na hapo fact itapatikana.
Naomba unielewe, sijawahi kukanusha kuwa mshahara ni mdogo la hasha! Lakini tatizo ninaloliona ni uwezo wa serikali kulipa pesa hizo na watu wengine kutaka kutuaminisha wafanyakazi kuwa na msimamo unaofanana. Binafsi natoafautiana saana na siasa za chama Tawala lkn kwa hoja ya TUCTA si sahihi. Pia kuna maswali ya msingi hapo juu nimeuliza, TUCTA wapo accountable kwa nani? Na nini hasa majukumu yao?
Sijaona manifesto ya chama cha kisiasa kinachoweza kulipa mshahara huo wa TUCTA km ipo watuwekee hapa na tuanze kuichambua. Nashawishika kuwaona TUCTA kuwa wamevamia siasa zaidi kuliko uhalisia na ndio maana nafsi yangu inanituma kuhamia kwa wale watakaokuwa wanatoa ufafanuzi wakihusisha na hali halisi. Tuache blah blah, tujadili ukweli tuweke tarakimu, tuainisha huduma zoote za msingi na hapo fact itapatikana.
Asante kwa link ya kwenye wikipedia. Lakini huko nilishapita nikajaribu pia kuitafuta website ya TUCTA ili nione wanaeleza nini huko nasikitika sikufanikiwa kuipata. TUCTA naifaham kwa juu juu sana nasipendi niwe km wengi nijiridhishe kuwa naifaham kiundani. Ningependa nisome katiba yao na muundo wao wa uongozi na accountability ndio vinavyonisukuma kuuliza. Nahitaji saana kufaham achievement zao kipindi hiki choote ambacho michango yetu imekuwa ikichukuliwa.Kama hujui TUCTA ni nini,na hujui TUCTA wako kwa ajili ya nani na majukumu yake,basi wewe sio mtanzania na sio mfanyakazi hapa TANZANIA.
Kwa kukusaidia bofya hapa Trade Union' Congress of Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
Tunajua lengo lako kama sio unajifanya kutojua ukweli halisi.
Mh Mgaya yuko sahihi kutetea maslahi ya wafanyakazi wote Tanzania,huyu ni shujaa.
Chama chochote cha kisisasa kinapoingia madarakani lazima kiwe na ushawishi mkubwa kwa wafanyakazi ukizingatia kuwa wafanyakazi ndio nguzo kuu ya utendaji weledi wa serekali itakayoingia madarakani.Endapo wafanyakazi hawatakuwa tayari kufanya kazi na chama husika matatizo yatakayojitokeza ni kama haya tunayoyashuhudia kipindi hiki kila sehemu rushwa inanuka.,utendaji mbovu wa wafanyakazi wa kipata cha chini.nk.
Tatizo wafanyakazi wanaamini wao ndio Watanzania peke yao. Wanasahau kuwa kuna kundi kubwa zaidi kuliko wao wanahitaji huduma kutoka serikalini na wanaushawishi mkubwa.(1) Umoja ni nguvu. Bargaining power ya wafanyakazi, kwa umoja wao ni kubwa. TANU na CCM vilikuwa vimezoea kuburuza NUTA na JUWATA. Sasa wamegonga kisiki. Ghafla wanaogopa sana nia ya TUCTA. Lakini wamechelewa.
(2) Kusema mfumo wetu sio wa Marekani hakufanyi kila kitu kinachofanyika Marekani kikawa kibaya kwetu. Vyama vya wafanyakazi Marekani vina kawaida ya ku-endorse mgombea wa Urais. Hiki ni kitu kizuri kwani kinavipa nguvu hivyo vyama. Ni kitu kinafaa hapa kwetu vile vile. Mgaya kagundua hilo, Anfael anaogopa sana! Kwa nini?
(3) Natoa mwito kwa vyombo vingine, sio vyama vya wafanyakazi tu, kujitayarisha ku-endorse mgombea. Vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu, UDASA na magazeti yatoe endorsement zao (for what they are worth) kampeni zitakapoanza.
Anfael usijaribu kuwagawa wafanyakazi. Waache wasikike. Wamedharauliwa muda mrefu mno. They have found their voice. Watanguruma! We acha tu!
Sina sababu ya kuzua mie ni mfanyakazi na ninapenda kusimamia ukweli licha ya kuwa kwa wengi unauma. Tuwe realistic kidogo, unaweza kuja na hizo figure za mishahara kwa mwaka za mbunge na thamani za hizo furniture ili tuhakiki huo uwezo?? Pia katika figure zako tueleze wabunge walipwe kiasi gani! Maana sielewi tatizo ni mishahara ya wabunge ya wafanyakazi Ishu si kusema bila kuonyesha, tumeomba manifesto iweke hapo tuanalyse uwezo wa Chama kiuhalisia wa kulipa wafanyakazi pesa hizo.Wewe mfanyakazi kweli au mzushi?Unasema "unaloona ni uwezo wa serikali kulipa pesa hizo..." kwani serikali inawezaje kuwalipa wabunge mamilioni?Inawezaje kumudu ununuzi wa magari na samani za thamani kubwa?Usitubabaishe hapa.Hakuna mfanyakazi mwenye akili timamu (na ambaye analipwa mshahara usitosha matumizi japo ya wiki moja) atakayehoji shinikizo la TUCTA kwa serikali.Au wewe unatoka kwenye ajira ambazo zina "mafungu maalum"?
!
Eti TUCTA hawako sahihi!Yaani hawako sahihi kudai maslahi bora kwa wafanyakazi?Hawako sahihi kudai kuwa chama kinachostahili kupewa kura za wafanyakazi ni kile chenye kujali maslahi ya wananchi wote kwa ujumla (including wafanyakazi) na sio kikundi cha wateule wachache?
Ushaambiwa,TUCTA hawataingia nawe kwenye chumba cha kupiga kura.Kwahiyo kama unataka kuipigia kura CCM,go ahead.Unasema una maswali ya msingi...eti "nini hasa majukumu ya yao (TUCTA)"?Sasa kama hujui majukumu yao umewezaje kuhitimisha kuwa hawako sahihi?
Halafu unachekesha kweli unaposema
Kama hujaona manifesto ya chama kinachozungumzia maslahi bora ya wafanyakazi basi subiri ya Chadema....au endelea kuiamini hiyo ya CCM.Wanaofanya blah blah ni TUCTA au watu wa aina yako ambao mnatetewa lakini hamtaki?Wenye blah blah ni watu wa aina yako waliopiga vigeregere wakati Kikwete anatukana wafanyakazi na mifano yake ya mbayuwayu na tetere.