kwanza ukisema netbook una maana gani? Sometime netbook kwa tafsiri ya watu tofauti ina maana tofauti wengine wanasema netbook wakiwa na maana hata ya laptop. Lakini wengine netbook ni laptop yenye screen size isiyozidi 12" (12 inch). Kama unamaanisha netbook ukiwa na man ya screen size isizidi 12" endelea kusoma mchakato huu otherwise upotezee.............
uchaguzi wa netbook gani itakufaaa utategemea mambo kadhaa . Nitataja mawili.......
I. Bajeti Kiasi gani cha pesa umetenga kwa ajili ya kununua netbook? Kama pesa si kikwazo kwako kuna netbook za $ 700 kama HP Mini 5103 na $409.99 kama ASus EEE PC 1215N lakini kama ni mtoto wa mkulima unaweza kugoogle kupata hata za $ 200 kushuka chini. Bajeti pia inaweza kukufanya ununue used( Ebay, Amazon)kwa bei nafuu but yenye nguvu zaidi au brand new lakini isiyo powerfull
II. Matumizi
Utaitumia kufanya shughuli gani?
Kama ni mtu wa mambo ya media, gaming na proggrma amabzo ni CPU na RAM hungry kama )Adobe premiere Pro) utahitaji netbook yenye nguvu sawa na laptop au hata PC na bei yake itakuwa juu. Hapa tafuta netebook yenye atleast RAM 2 GB au zaidi kama Asus Eee PC 1215N, Acer Aspire One AO722-0022 , HP mini 5103 , Lenovo ThinkPad X120e etc .
Kama shughuli zako ni nii nternet tu au mambo ya presentation na Ms office na shughuli ndogo ndogo basi tafuta isyopungua RAM 1 GB kama Toshiba Mini NB505,Samsung NF210 AO3, etc