MSAADA PLS nataka kublock document zangu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari wandugu

Naitaji msaada kwenu kwa yeyote anayejua kublock (kuweka password) documents katika computer (pc & laptop)
ili mtu mwingine asiweze kufungua na kuchukua data zangu au mafile yangu kwenye computer au mtu asije haribu mafile yangu na yasiweze kufunguka kwa uhalisi cause hapa ofisini tuko wengi nami wakati wa lunch nataka niwe nimeweka password naitaji msaada wenu pls kwa yeyote anisaidie kwa ushauri zaidi,
 
zipo njia nyingi lakini hizo wasubiri wataalamu waje wakuelekeze.
Tafuta software inayoitwa folder lock hii ni nzuri na rahisi kuitumia
 
badala ya kuwekea password mafaili. tengeneza guest account, kisha yako iwe na password, hakikisha hiyo akaunti yako ina admin previllegies. nadhani inakufaa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…