E emike JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 345 Reaction score 109 Mar 18, 2012 #1 wanajamii salaam zenu naomba kujuzwa ni software gani nzuri na free ya ku convert dvd au vcd kuja flv, avi au wmv nia ni ku save video hizo kutoka kwenye dvd cd kwenda kwenye lap yangu niangalie videos bila cd
wanajamii salaam zenu naomba kujuzwa ni software gani nzuri na free ya ku convert dvd au vcd kuja flv, avi au wmv nia ni ku save video hizo kutoka kwenye dvd cd kwenda kwenye lap yangu niangalie videos bila cd