Msaada pleaseeeeee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada pleaseeeeee

Discussion in 'JF Doctor' started by LARRYBWAY, Jul 18, 2012.

 1. LARRYBWAY

  LARRYBWAY Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo mkojo unatoka wa njano na maumivu kwa mbali hivi huwa nasikia, nikaenda kupima gono na damu vyote vipo safi, doctor akaniambia sina tatizo lolote, sasa nimeona niwasilishe mjengoni ili niweze kupewa mawazo kama kuna mtu anafahamu tatizo hilo au dawa yake cz nahofia isijekuwa ni protest cancer inaanza taratibu.,..mnakaribishwa kwa ushauri
   
 2. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  pole sana kwa tatizo hilo, kwanza jitahidi sana kunywa maji ya kutosha, halafu wahi hospitali wakakupime njia yote ya mkojo na mfumo wake, pia waangalie stones, etc...sio ishu mkuu hili linatibika hapahapa tz..muhimu ni uwahi hospitali kwani inawezekana hospitali uliyoenda wamekumislead kuhusiana na tatizo lako maana siku hizi mh! nenda hosp nyingine ukecheki hivyo...kila la kheri Inshaallah!
   
 3. li sheng

  li sheng Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 11, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Bro unahofu, kwa vile umekwena HOSPITALI VIPIMO SAFI na KWa mujibu wa maelezo yako, ukitilia maanani na mda wa tatizona na dalili unazotoa, nahisi hamna tatizo.
  labda nkwambie kawaida mkojo ni manjano hata uliwa huumwi na siku za joto huzidi na huuma kidogo kwa mana unakuwa acidic, dawa kunywa maji mengi, kila siku asubuhi anza glass moja mpaka 2, kwa wili ukiona bado nenda spitali kubwa umuone Dr< bingwa, si hivyo
  Furahi
   
Loading...