Msaada please!!

Warren.T

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
900
Reaction score
318
Habari zenu jamani

Nimeroot smart phone yangu aina ya Tecno m5 kwa lengo la ku-upgrade kutoka android version 4.2.2 hadi android version 5.0.Naomba ambae anajua jinsi ya ku-upgrade anisaidie mchakato na process nzima please.

Nawakilisha.
 
mkuu huwezi upgrade kwa ku root Simu..
otherwise kuwe na custom ROM ya lolpop kwa Simu yako..na sidhan kam utapata..atleast ingekua ni Samsung .
 
mkuu huwezi upgrade kwa ku root Simu..
otherwise kuwe na custom ROM ya lolpop kwa Simu yako..na sidhan kam utapata..atleast ingekua ni Samsung .

Custom ROMS nimesearch zipo kwa hiyo naomba unipe mchakato mzima jinsi ya ku-install na ku-flash mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…