Msaada please

Msaada please

Sasa Kujipiga Bao Si Ndo Uanaume.Kama Hufanyi Manake Zitajaa Kwenye Makende Na Zitakua Zinatoka Kwa Staili Hiyo.Kwahiyo Cha Kukushauri Uwe Unavaa Pamperz Ili Husichafue Mashuka

nkakaptula special ka kulalia
 
Jamani mwenzenu sihitaji mahusiano kwa sasa ila tatizo ni kilasiku nikilala lazima nijipibe bao kuna siku hadi mara mbili
natokaje kwenye hilo tatizo

Jilazimishe kuacha ndugu yangu, itakusumbua sana badae hiyo kitu, kama umefikia umri wa kuoa na sifa unazo usiogope

oa tu na uwe karibu na mkeo na usijaribu tena hiyo kitu, kama bado hujafikia hatua ya kuoa, jilazimishe kuacha hiyo kitu

si nzuri. Kuwa na mpenzi ni uamuzi wako siwezi kukushauri uwe mzinzi.
 
nimekusoma mkuu
 
Jamani mwenzenu sihitaji mahusiano kwa sasa ila tatizo ni kilasiku nikilala lazima nijipige bao kuna siku hadi mara mbili, natokaje kwenye hilo tatizo.

Msaada tafadhali

Mimi sitaki matani na bao langu ni burudi
 
Kabla hujalala ifunge rubber band alafu huko kwenye outlet paka super glue
 
Watz na mapepo...dah! Kila kitu ni pepo tu miaka hii. Kweli wenye makanisa yao wameshinda....!
 
Back
Top Bottom