kidE Meshack
Member
- Jan 8, 2013
- 92
- 7
Habariii wana JF,
Plz naomben mnisaidie Mawazo....coz nko na girl kwa miezi 6 sasa, tushajiwekea mipango kibao....lakini hivi karibuni mwenzangu anataka kuhamia upande wa pili wa Maisha...anataka kumrudia Mungu, so....akifanya hivo means mi na yeye ndo bhaaaaasi.... Kakomaa saaana bt mwsho wa siku memwambia Fanya unachoona kitakupa furaha....
Kwahiyo...., ili niendelee kua nae na mie niokoke?
Au nimuache aendelee na upande wa pili wa Maisha??
Ni kweli kama unaishi 'Holy Life' huwez kabisa shirki mapenz kwa namna moja au nyingne??
Naumia saana coz Nampenda, daah
#Mhanga ....

....lakini hivi karibuni mwenzangu anataka kuhamia upande wa pili wa Maisha...anataka kumrudia Mungu, so....akifanya hivo means mi na yeye ndo bhaaaaasi....
Ndugu hapa duniani omba ushauri kila kitu utakachofanya ambacho huna uhakika nacho lakini kuna jambo 1 tuu hutakiwi kuomba ushauri kabisa utapoteza muda tuu.JAMBO LENYEWE NI KUMTUMIKIA MUNGU.Habariii wana JF,
Plz naomben mnisaidie Mawazo....coz nko na girl kwa miezi 6 sasa, tushajiwekea mipango kibao....lakini hivi karibuni mwenzangu anataka kuhamia upande wa pili wa Maisha...anataka kumrudia Mungu, so....akifanya hivo means mi na yeye ndo bhaaaaasi.... Kakomaa saaana bt mwsho wa siku memwambia Fanya unachoona kitakupa furaha....
Kwahiyo...., ili niendelee kua nae na mie niokoke?
Au nimuache aendelee na upande wa pili wa Maisha??
Ni kweli kama unaishi 'Holy Life' huwez kabisa shirki mapenz kwa namna moja au nyingne??
Naumia saana coz Nampenda, daah
#Mhanga ....
Wanawake wakitaka kukuhepa wanakuwa na vijisababu vingi sana ili tu aanze kuwa mbali na wewe na uzuri visababu vyao unaweza usishtuke kabisa mpaka wewe mwenyewe utakapokuja kuyashuhudia manyoya!! Na hapo ndipo utakapokuwa huwezi tena kumrudisha maana keshanogewa kwingine.
Wanawake bana! sijui wana ufutio kwenye brain zao akilala anakufuta faster asubuhi anakuona kama mgeni hahahaaaa!! Haka kastori changanya na za kwako kabla mwenzio hajatumia ufutio kichwani mwake maana sasa hivi ni kama analifuta jina lako nusu then analiandika tena anakaa nalo siku kadhaa anafuta tena kidogo then analirudisha sasa akilifuta lote imekula kwako