Kaka nadhani hujanipata vema, nimeandika kuwa pia Nina Master of science in finance and Investment (Msc in finance and investment) with B+. Nimesoma vyuo vizuri sana vinavyotambulika na TCU. Sijapenda kutaja jina la vyuo nilivyosoma coz inaweza kuwaimbalance wengine wakadhani najidai. Thanx rafik kwa mchango wako,