Jamani mimi ni graduate mtarajiwa sasa nimejaribu kucheki matangazo mengi kuhusu nafasi za kazi nyingi ninaweza ku aply lakini tatizo nyingi zinahitaji experience wadau za kama si 3yearz ni mor than that sasa ni aply wadau au inakuwaje apo msaada pleaz