Wakuu naomba mwenye info wapi naweza piga kozi ya GRAPHIC & DESIGN kwa mda wa jioni saa 1 na kuendelea mda huo utanifaa sana coz huwa natoka kibaruani saa 11 wakuu nimejaribu kuulizia pale UCC tatizo mda wao ni mchana naomba mwenye info anijuze wadau