E emike JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 345 Reaction score 109 Jan 5, 2012 #1 natafuta external dvd rom hata isiwe writable ya samsung,asus,toshiba etc itakayo tumika kwenye laptop dell insp 6000 baada ya ile original kuharibika,nitafurahi kama wadau mtanijuza wapi nitapata na bei yake
natafuta external dvd rom hata isiwe writable ya samsung,asus,toshiba etc itakayo tumika kwenye laptop dell insp 6000 baada ya ile original kuharibika,nitafurahi kama wadau mtanijuza wapi nitapata na bei yake
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Jan 5, 2012 #2 nenda posta mpya barabara ya samora kama unatokea kwenye sanamu askari kuna duka la computronix ulizia hapo..(kama upo dar lakini)
nenda posta mpya barabara ya samora kama unatokea kwenye sanamu askari kuna duka la computronix ulizia hapo..(kama upo dar lakini)