5/10 mls per kilo per hour. Mfano una kilo 60 kunyw glass moja ya mls 300-600 kwa kila saa. Unategemewa kutoa mkojo 1-2 mls per kilo per hour. Mfano ukiwa na kilo 60 kila saa utatoa 30-60 mls ya mkojo kila saa. Mwili unaweza kuhold mkojo mpaka masaa manne.

oky,
mi nakilo 70
0.5mls/kg hii ni rate kwa saa
0.5mls/kg x 70 =35mls kwa saa,
time interval ni kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa nne usiku = 17hrs
35mls x 17 hrs =595mls sawa na 0.6ltr
hesabu iko sawa??
mbona maji machache sanaa maana mi napiga 3lita kwa siku