5/10 mls per kilo per hour. Mfano una kilo 60 kunyw glass moja ya mls 300-600 kwa kila saa. Unategemewa kutoa mkojo 1-2 mls per kilo per hour. Mfano ukiwa na kilo 60 kila saa utatoa 30-60 mls ya mkojo kila saa. Mwili unaweza kuhold mkojo mpaka masaa manne.hivi formula ya kutumia kunywa maji kwa siku ni ipi?? kwa kuzingatia uzito,umri,urefu n.k
mkuu hiyo rate ni internation standard??5/10 mls per kilo per hour. Mfano una kilo 60 kunyw glass moja ya mls 300-600 kwa kila saa. Unategemewa kutoa mkojo 1-2 mls per kilo per hour. Mfano ukiwa na kilo 60 kila saa utatoa 30-60 mls ya mkojo kila saa. Mwili unaweza kuhold mkojo mpaka masaa manne.
Mleta mada fuata muongozo...5/10 mls per kilo per hour. Mfano una kilo 60 kunyw glass moja ya mls 300-600 kwa kila saa. Unategemewa kutoa mkojo 1-2 mls per kilo per hour. Mfano ukiwa na kilo 60 kila saa utatoa 30-60 mls ya mkojo kila saa. Mwili unaweza kuhold mkojo mpaka masaa manne.