steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 9,573
- 10,276
Heshima kwenu wanaTECH wa JF,jamani modem yng inanizingua sana,ni universal,ilikuwa inawork vzuri tu ila kwa sasa mmmh sarakasi sana,network inaonekana na nimeirecharge but nikiconnect inagoma,inaniambia 'connect failed',kuna jamaa walinishauri ni-reinstal nikafanya hvyo,bado tu,now nataka kuingiza configuratin manually nione itakuaje,msaada kwa mnaojua tafadhali