msaada please wa spotify kwenye iphone

inatakiwa ufungue i cloud account ingine kwa aajili ya kudownload apk ambazo azipo nchuni kwetu, wakati unafungua location auweki Tanzania unajaza Usa ukimaliza utapata apk izo amabazo azipatikani uku
lakini skuiz tuna apple music nainapiga kazi bure uku man


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…